World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hongera yao chile maana wameweka historia kwa kumsaidia bingwa mtetezi kutoka bila kushinda mechi mbili katika kombe la dunia
 
I am very happy these racists are given marching orders, It is only that I respect the deceased but their former coach the late Aragones was the deadliest racist in the world of football. Let them go packing.

hata brazil bahati yao siku ile walibebwa nao walikuwa waage mapema
 
Matusi kwa babu yangu Wenger namezea....ila hili la England semi Final.....?ya Rugby?hata huko wananyukwa na "Blackcats "kila siku....hawa wanafungasha virago mechi ya pili

Naomba uwepo kesho hapa baada ya mechi useme tena maneno yako haya

Naona Cameroon wameenza kwa moto leo, ngoja tuone itakavyokuwa
 
Back
Top Bottom