Naunga mkono utabili wako, kikombe kinakwenda kwa mama Angella!
Tatizo ni utabili wa pele amewatabilia spaini na germany na akikutabilia mara nyingi inakwenda kinyume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono utabili wako, kikombe kinakwenda kwa mama Angella!
Utakua una kipele wewe sio bure. Hao Colombia wanapaa? Wanachezea dungu mbili kama wamesimama.Maumivu leo Africans yanatuanza mapema kabisa!Ivory Coast HAWEZI mfunga Colombia!
Kwa beki ya England, hata mbele nisimame mimi nawatoboa. Leo Cavani ndio atakae peleka kiturubahi cha msiba kwa Malikia.Coach wa Uruguay muda si mrefu kasema Suarez HAYUPO fit kucheza!Kama Suarez hachezi England anampiga au anapata sare kwa Uruguay!!
na kombe hili mwaka huu mjeruman anabeba
#suarez ni kati ya wachezaji wanaonivutia ila #England chama langu lolote na liwe I am [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamEngland]#TeamEngland [/URL] mapema sana najitambulisha
Miaka yote WC hatua hizi huwa sishangiliigi wazungu, nangoja ngozi nyeusi itolewe then ndio nianze kutafuta wapi kwa kwenda. Ila mwaka huu nahisi nitakua mtumwa wa MGerman. Maana kilanikipepesa jicho sioni wakumfunga labda Ghana.Pressure zingine mnajitakia bure mkuu, Njoo #teamitaly upate raha duniani
4 4 2. Labda wapite juu!England anapiga mtu 2 bila. Mark my word
Kwani marayamwisho Spain kutoka hatua za makundi ni mwakagani? Au unajitoa ufaham?mara ya mwisho mjerumani kimfunga mtaliano ilikuwa lini?
Au mnajisahaulisha tu na kufanya kama vile Italy hawamo?
Uruguay 4 england 1
4 4 2. Labda wapite juu!
Acha kutisha watu
5.England
6.?
Confused! Pls delete England.
5.England
6.?
Sometimes nimegundua sio kosa kuamua kutoshabikia timu za Africa