World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi Tanzania hata refa hatujawahi toa kwa mashindano haya ya kombe la dunia au mashindano yoyote ya kimataifa?

C.c MEANDU.

Ingekuwa mashindano ya viduku au bongo fleva hapo tungekuwa nao kibao mkuu,
Sisi tumewekeza kwenye muziki na ulevi tu ,ni Bar na viduku tu
 
Last edited by a moderator:
99b9d491-3188-4411-a894-54deb0b56e3c.jpg
 
Welcome to another webb show......leo hajavaa jezi ya man u?
 
Hahaaaa yaani ukitazama dokumeee itasomeka ana miaka 22

Wale waongo hata etoo eti kazaliwa 1981,wakati mimi nimeanza kumsikia longtime,si unajua vyeti vya kuzaliwa huku Africa vinapatikana tukiwa wakubwa,Ulaya kabla hata hujatoka wodini unaondoka na birth certificate ya mtoto,na inaseviwa kwenye server ya Taifa,huwezi kudanganya
 
Huyu Gervinho anaweza kukimbia na mpira toka golini kwao hadi kwa Colombia na kushindwa kufunga goli hata kama golikipa akiwa hayupo golini. Ndo kilichofanya Arsenal wamuuze. ziro products.
 
Toure bana akiwa katika jezi ya City hizo free kicks zote ni wavu. Akichezea timu ya nyumbani kama vile kafungiwa mawe miguuni.
 
Back
Top Bottom