Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Umeona sasa hawa ndio Tembo au kanga?ingekua lango la Africa lingekua goal lile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona sasa hawa ndio Tembo au kanga?ingekua lango la Africa lingekua goal lile
Wewe mrembo unitafute!!
Yaani nimenyong'onyea aaaah
Haziwezi kuwasaidia hawa Tembo wenu. Wamegeuka Kuku
Hawa watu wangejua wanavyotuumiza sisi basi tu. Hivi nani kaniloga kila timu nishabikiayo haishindi
Dakika za nyongeza tunarudisha hili
Lazima afungwe mtu hakuna suluhu.Japan na Grece watoke suluhu ya bila magoli,Ivory coast wamecheza vizuri,ndo hivyo tena mpira magoli
hahaha pole kwa maumivu mkuu
Acha tu maana....nimekosa hata pozi
Acha tu maana....nimekosa hata pozi