World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Japan na Grece watoke suluhu ya bila magoli,Ivory coast wamecheza vizuri,ndo hivyo tena mpira magoli
 
Hakuna timu ya Africa itakayo vuka hatua ya Makundi.
 
Tiote sasa Kelele za nini mpira usshaisha alikuwa humo humo uwanjani au analalamika kwa Yaya Toure kwamba Manchester City unacheza Kama Mshine isiyoharibika hapa unacheza Kama Twiga Stars.
 
Back
Top Bottom