Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tutaipiga Greece 16 bora yetu
Ng'ombe wa masikini hazai.....akizaa anazaa dume ....dume lenyewe linakufa.....maumivu tu.....wengine tuna damu za Nyerere......Afrika kwanza....Then Tanzania.....
. Mara ya mwisho nilikuwa sina wasiwasi tumemfungwa Leo Rooney anafunga Leo katikati kutulie.
Itabidi na mimi nikimbilie #TeamYankees sasa maana mashamba ya vifaa ya Wenger ndo yameshang'olewa.
mke mwenza kumbe...
Yaani nimebaki kucheka tu...nina hasira sana ngoja nijipige nyeto nikalale labda hasira zitapungua
njoo basi Tatiana
Hehehehe Anarudi kwa Kronke.Sisi wenzako tulishagundua siku nyingi kuhusu maradhi ya moyo hayo, tukayakimbia
Hii timu ingeifunga Spain kiulainii
man'nina zenu,hasa hawa foward line wapuuzi sana.Toure na drogba wanakenua tu
Natamani watoke draw hawa Japan na Greece ili sisi tumfunge greece
acha wewe game ijayo droo tu tumepita.."timua wote..majengo tufugie kuku..labda ndio tunachoweza.."
au waafrika tujaribu kucheza karata labda...
wanacheza lini tena
Njoo uzimalizie hizo hasira kwangu...maana na Mimi ninazo toooop so tutabalance