World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ng'ombe wa masikini hazai.....akizaa anazaa dume ....dume lenyewe linakufa.....maumivu tu.....wengine tuna damu za Nyerere......Afrika kwanza....Then Tanzania.....
 
Maafrika ni maafrika tu, kila mechi yanapigwa, hivi laana hile ni yenu....yaani ningekuwa FIFA ningefungia Afrika miaka 100 kucheza kombe la dunia
 
Dah boys wanaonekana na ari na achu kwa mechi hii ya leo, dalili njema kabisa
 
Ng'ombe wa masikini hazai.....akizaa anazaa dume ....dume lenyewe linakufa.....maumivu tu.....wengine tuna damu za Nyerere......Afrika kwanza....Then Tanzania.....

Wacha kabisa...npo pamoja na wewe
 
"timua wote..majengo tufugie kuku..labda ndio tunachoweza.."
au waafrika tujaribu kucheza karata labda...
 
Yaani nimebaki kucheka tu...nina hasira sana ngoja nijipige nyeto nikalale labda hasira zitapungua

Njoo uzimalizie hizo hasira kwangu...maana na Mimi ninazo toooop so tutabalance
 
Nawaombea England wafungwe, kuna watu kama kina Rooney siwapendi. Mkifungwa nitarudi hapa.
 
kushabikia afrika ni uzalendo ila ni hatari kwa afya yako

hahahahaha mpira ulaya na amerika
afrika ngono siasa na uchawi

#teamEngland
 
Back
Top Bottom