World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Fact:England wakitaka washinde game hii David Moyes ateuliwe kufundisha Uruguay saa hizi kwa dakika zilizobaki
 
Welbeck nje, lalana hizi sub zinaweza kuwasaidia england.
 
Sasa Lallana kaingia, hilo jina hahahahahaah hivi viroho vinawaumaje kipa anavyodaka mikwaju yote.
 
David Seaman Yule aliyetunguliwa kutokea Kisiwani yeye amesimamia Bara na Ronaldinho?

Mkuu inategemea na teknolojia iliyotumika kumtungua.hata angesimama marekani from ZNZ watu wangeweza kumtumia intercontinental ballistic missile.siku ile Gaucho alirusha tomahawk cruise missile!
 
Back
Top Bottom