Yaaah ni offside ile
gerad kagusa na kchwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaah ni offside ile
how mkuu?
England kuja kubeba kombe la dunia mara nyingine itabidi muwe mahost afu muharibu Goal line Tech ili mlibebe kwa goli lisilovuka mstari kama 1966
Cc DonDonald, Pazi, Ed n Eddy nEddy
Keesho Italy ndio England wanaomba ashinde game zote ila Draw Keesho England Out ila mpaka hapa England Out. England ukweli manager Kama English ni Glenn Hoddle tu peke yake jamaa kilimponza kuongelea vilema, Hudgson anapanga timu kwa magazeti weka Ox kulia Raheem kushoto Carrick nyuma ya Hendo Ana SG au Welshire japo Juzi alikuwa anaanguka annguka Angesimama na Hendo Yule Barkley ni mchezaji mcheza kwao bado sana bora Carrick angekuwepo na Ashley Cole. England wanaaondoka aliocheza mpira kwenye timu Yao ni Henderson,Raheem,Welbeck na Johnson ambaye nilijuwa atachemsha ila waliocheza wote wamechemsha nimesahau star Man Cahill.how mkuu?
Hawa wameshatoka. Uruguay wakicheza kama leo watawafunga Italy, kazi ngumu wanayo Costa Rica kuwafunga either Italy au watoto wa bibi yake William
Hawajaijua vizuri Italia hawa.
Ndio manake tehtehteh hakuna timu pale wangekosa zile Link Pasi za Rogers ndio hata Goli moja wasingepata sishangilii tena mpaka wajue wanachofanya Hudgson hajui anachofanya mpaka kafahamishwa na gary Neville ndio kidogo kulielekea a Manager Huyo? Mie #TeamIamOutofHere !Mkuu nimetuma post yangu hapo chini me siishabikii tena
Huyu Mbwaa a Suarez akirudi Liverpool ndio watazidi kila uwanja ataoenda kuzomewa duh!
Hiyo ndio laana ya kutowachezesha wachezaji wa Arsenal! Lazima utafungwa tu!
Hiyo Ndio timu sasa yenye umoja wa roho Italy I'm going back to Italy Chiellini Buffon Balloteli nilisema nikitoka a England naenda kwa wanangu wa Juventus sibadili tena timu Come on Italy.Wataijua tu
Taratibu rubaman, Italia sio jamvi la wageni kama hao malkia wa kumwaga mauno, tafadhali Mkuu
Kipa wa chile na. Mexico habari nyingine asee!!