World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hawa costa rica wanaonekana kuwa na mipango zaidi kuliko azzuri. Dk kama tano wamepiga mashuti kama matatu na gigi buffon akaokoa. Azuri tumeelemewa.

#teamitalia
 
Jamani Costa Rica wamejipanga vizuri pamoja na kunyimwa Penalty
 
Hawa south americans ni hatari,hili kombe litavuka kweli Bahari ya Atlantic?
 
Back
Top Bottom