Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Switzerland watawaweza kweli Wafaransa?
Mkuu acha tu..leo utafkiri tulikuwa pungufu uwanjani..tulikuwa slow sana halfu zaidi ya PIRLO Pale kati palikosa ubunifu kabisa...
Beki yetu ilicheza Ovyo nafkiri tulitakiwa tupigwe zaidi ya 1...
Uruguay Sidhani kama watatufunga
Swiss wameshatunguliwa tayari
Hawa Switzerland watawaweza kweli Wafaransa?
Mambo safi,mimi team France