World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Halafu nimemuona shabiki anambusu yule jogoo kwenye tisheti yake,huyu Jogoo ana maana gani?

jina la mtaani la timu ya taifa ya france ni jogoo la ushindi. Jezi za ufaransa zina picha ya jogoo. Nadhani kama TZ alivyo twiga kwetu wao ni jogoo.
 
hawa wa Suisse wanaanza mashambilizi makali,eeh Mungu ibariki France
 
Dah,waswiss wametukosa hapa!tumbo joto!kumbe nyoka hafi bila fimbo!
 
Jamani mlimuona yule kocha wa Costa Rica mzuka wake? Napenda sana makocha we ye mzuka...hata yule wa Chile naye mzuka wake ni balaa mpaka una enjoy kumuangalia.
 
Hii ni fimbo ya kuua nyoka sasa,moja,mbili,goo..benzema kakosa,dah!nyoka hajafa,fimbo imevunjika,sasa tunatafuta gongo kabisa!
 
Back
Top Bottom