Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Naanza kuelewa kwanini Mmarekani hachoki kumchokonoa muirani. Hawa jamaa wana sanctions hali ndio iko hivi. Wana jeuri kama marais wao. Duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah Messi no noumer anakuwepo anapo hitajika mno
Anyway......
#TeamUjeruman nimechoka kushabikia Malooser
Vijamaa vibishi hivi.....!!Naanza kuelewa kwanini Mmarekani hachoki kumchokonoa muirani. Hawa jamaa wana sanctions hali ndio iko hivi. Wana jeuri kama marais wao. Duh!
Ujerumani wakikutana na ARG wanampa mtu mkono
Hahahaahaah,,,,,nao watakudisappoint tu.
Germany hamfungi Argentina hata refa awe German!
Boateng,Humels na huyo beki wa Arsenal wazito sana,watakuwa wanafika wkt Messi na Aguero wameisha nyanyua mikono wanashangilia wapo kwenye kibendera
Naanza kuelewa kwanini Mmarekani hachoki kumchokonoa muirani. Hawa jamaa wana sanctions hali ndio iko hivi. Wana jeuri kama marais wao. Duh!
Haya ndo mambo gani tena?
Disappointed Kwakweli.
According to fifa.com Messi Lionel is the man of the match,
Je ni sawa??
Mkuu Ghana kuifunga Ghana ni sawa na Ngamia kupita kwenye tundu la sindano...
Ghana wakitoa draw Naacha kutazama haya mashindano kwa kuwa itakuwa ni Muujiza
Line up Ghana Vs Germany
Ghana XI vs Germany: Dauda, Gyan, Atsu, Boateng, A Ayew, Muntari, Rabiu, Mensah, Asamoah, Boye, Afful
Germany XI vs Ghana: Neuer, Howedes, Hummels, Khedira, Ozil, Muller, Lahm, Mertesacker, Kroos, Gotze, Boateng
Ndugu wa Damu team za taifa tofauti
Kipa wa Iran ndio anastahili