World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano,bravo Argentina!!
 
hawa jamaa asili yao ni vichwa, sio kama wenzao wa nchi jirani zao.

Sure, katika waarab hawa ni vichwa. Tena ukizingatia kwao vitu vingi vya usasa vya magharibi wamepigwa marufuku, lkn kiuchumi pia wako vema sana.
 
According to fifa.com Messi Lionel is the man of the match,

Je ni sawa??

Mkuu Man of the match anachaguwa kwa kura toka kwa mashabiki na mtu yoyote anayeamua kupiga kura hiyo, Kitu nilichojifunza ni kuwa watu wengi wanachagua man of the match kutoka kwenye team iliyoshinda.....
 
Wakifumbia macho mchango wa mchezaji alieiweka team sawa hadi mwisho

Kipa wa irani anastahili hii
 
Kuna team zinaandaliwa mazingira na FIFA wakisaidiana na waamuzi wao, hebu imagine faulo aliyofanyiwa Dejagah angefanyiwa mshambuliaji yeyote wa Argentina kama isingekuwa penati na red card.

AIBUUU AIBUUU

ingekuwa penati mkuu.
 
BqrDfMTCEAAcM2M.jpg
 
Theory ya kwanza inakuwa refuted
Never judge a nation by the size of its entourage

Theory ya pili inahold

Kuna hatihati ya timu zote za South America kupita makundi
hata Hondurus?
 
Mkuu Man of the match anachaguwa kwa kura toka kwa mashabiki na mtu yoyote anayeamua kupiga kura hiyo, Kitu nilichojifunza ni kuwa watu wengi wanachagua man of the match kutoka kwenye team iliyoshinda.....

Kuna wachezaji reputation yao ya huko nyuma ndio inawasaidia lakini sio current form
 
Back
Top Bottom