Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa jamaa asili yao ni vichwa, sio kama wenzao wa nchi jirani zao.
hiyo match inayokuja baadae ndio balaa
According to fifa.com Messi Lionel is the man of the match,
Je ni sawa??
theory imekuwaje
According to fifa.com Messi Lionel is the man of the match,
Je ni sawa??
mwisho wa siku lazima iran afungwe..na atafungwa
uko timu ipi hapo baadae?
Mkuu Man of the match anachaguwa kwa kura toka kwa mashabiki na mtu yoyote anayeamua kupiga kura hiyo, Kitu nilichojifunza ni kuwa watu wengi wanachagua man of the match kutoka kwenye team iliyoshinda.....
Kuna team zinaandaliwa mazingira na FIFA wakisaidiana na waamuzi wao, hebu imagine faulo aliyofanyiwa Dejagah angefanyiwa mshambuliaji yeyote wa Argentina kama isingekuwa penati na red card.
AIBUUU AIBUUU
Whaaaaat? Hii nafasi goal keeper huwa haimuhusu? Nadhani kipa wa Iran ndiye angestahili.
Sure, katika waarab hawa ni vichwa. Tena ukizingatia kwao vitu vingi vya usasa vya magharibi wamepigwa marufuku, lkn kiuchumi pia wako vema sana.
hata Hondurus?Theory ya kwanza inakuwa refuted
Never judge a nation by the size of its entourage
Theory ya pili inahold
Kuna hatihati ya timu zote za South America kupita makundi