Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Ayew sijuagi hata kwa nini anapangwa...mxxxxi
yoyote apigwe tu
Hapo si itafanyika kama inavyofanyika pale wanapocheza fair play?
Ghana kama wameanza kupotea hivi dah!
Yaaani hapa naangalia futbol mkono mmoja nina panadol mwingine glasi
k ya maji maaana kichwa kitauma sasa hivi
kuna jamaa hapa anasema eti anarusha linesman!
Hahahaaah,,,,,,pole yako.Yaaani hapa naangalia futbol mkono mmoja nina panadol mwingine glasi ya maji maaana kichwa kitauma sasa hivi