World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaaani hapa naangalia futbol mkono mmoja nina panadol mwingine glasi ya maji maaana kichwa kitauma sasa hivi
 
Ujerumani wanawaogopa ghana, tatizo ghana wanaanza kuwapa confidence ujerumani.
 
jerumani kaachiwa offside, gyan kanyoshewa kibendera kwa same situation.
 
Yaaani hapa naangalia futbol mkono mmoja nina panadol mwingine glasi
k ya maji maaana kichwa kitauma sasa hivi

hahahaha ndo timu zetu za afr mkuu, usiweke matumaini kua tutashinda. presha tu hapa
 
Huwa sijuwi africa tuna mkosi gani
Lile shuti la muntar si lingezama tu!aagghhrrr.
 
Back
Top Bottom