Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Timu za africa zinavuma na kufifia.
1. 1990 Cameroun ya Rodger Milla.
2. 1994 Nigeria ya kina George Finidi
3. 1998 Nigeria ya kina Sunday Oliseh
4. 2002 Senegal ya Diof
5. 2006 ?
6. 2010 Ghana ya Asamoh Gyan
7.2014 ?
2014 Twiga stars Anastansia Katunzi