World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Timu za africa zinavuma na kufifia.
1. 1990 Cameroun ya Rodger Milla.
2. 1994 Nigeria ya kina George Finidi
3. 1998 Nigeria ya kina Sunday Oliseh
4. 2002 Senegal ya Diof
5. 2006 ?
6. 2010 Ghana ya Asamoh Gyan
7.2014 ?

2014 Twiga stars Anastansia Katunzi
 
Ndio naingia uwanjani jamani Ghana mchezo ukoje?nasikia Muller kafichwa
 
Hii match ni ngumu sana......Sina imani na Germany hata kidogo....

Ngoja tusubiri hadi kipenga cha mwisho!
 
Back
Top Bottom