World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Africa teams mm kuzishangilia hadi dakika 90 hata kama wanaongoza 3-0!Hawa hawaeleweki kabisa
 
Huyu alikuwa anapiga ule mpira ili afunge au anaokoa?Algeria wana kazi na spidi ya Koreans leo.kiwango hakiridhishi lakini ah,nitashabikia hivyo hivyo gooooo suleman aipa algeria bao la kwanza
 
Wow! Algeria wanacheza mpira wa hali ya juu; real world class, hongereni Afrika!
 
Algeria leo wamefanya kitu ambacho team za Afrika mara nyingi zinakosa kutotumia chance vizuri
 
Natumaini ndugu zetu wa africa kaskazini hawajisahau baada ya kufunga kama wale wa magharibi.
 
Sasa naona Algeria wametulia,wanacheza soka safi kabisa.wamegain co ila Korea kama wamechanganywa na haya magoli.la tatu,Algeria 3
 
hahahaha 3-0, timu ya zinedine zidane inamtoa kimasomaso.
 
Back
Top Bottom