Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa kauli tafasali.
TATIANA AAAAAA Nyani Ngabu uuuuuuuuuuuNyani Ngabu ndio anaingia
Watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mpira hauna heshima
Mpira hauna heshima
TATIANA AAAAAA Nyani Ngabu uuuuuuuuuuu
Haiwezekani nchi inayotumia mabilion kuandaa teams zake itolewe na teams zisizowekeza!!
Viol yaani USA inabahatisha?Daaah yaani Portugal na Ghana wote wamekaa bado unasema inabahatisha?Hauoni soka hilo?Kuna timu ambazo kwenye hili kombe la dunia sivielewi,vinapita kirahisi lakini nadhani hata wewe mwenyewe kwa kiasi flani huridhiki na viwango vyao ila hujui kwanini wanafanikiwa kuvuka kiajabu.
Timu kama Costa Rica mi nimefurahi wamevuka ila sijui hata mapungufu yao but nahisi something missing yaani kama kubahatisha,wengine USA nao hivo hivo kama Costa Rica.
Utakuja kushangaa Costa Rica inaingia nusu fainali.