World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

BqxYcZfCUAA5yRa.jpg
 
Watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kuna timu ambazo kwenye hili kombe la dunia sivielewi,vinapita kirahisi lakini nadhani hata wewe mwenyewe kwa kiasi flani huridhiki na viwango vyao ila hujui kwanini wanafanikiwa kuvuka kiajabu.

Timu kama Costa Rica mi nimefurahi wamevuka ila sijui hata mapungufu yao but nahisi something missing yaani kama kubahatisha,wengine USA nao hivo hivo kama Costa Rica.
Utakuja kushangaa Costa Rica inaingia nusu fainali.
 
USA ni team kabisa itakayofika mbele mbele huko
Hapa naihurumia Ghana tu kwa kutolewa haya magasia mengine hayana maana.
 
Kwa matokeo haya automatically kwaheri Ghana.

Huyu kocha haoni hili jama la Ureno jeusi lenye rasi jinga!
 
Kuna timu ambazo kwenye hili kombe la dunia sivielewi,vinapita kirahisi lakini nadhani hata wewe mwenyewe kwa kiasi flani huridhiki na viwango vyao ila hujui kwanini wanafanikiwa kuvuka kiajabu.

Timu kama Costa Rica mi nimefurahi wamevuka ila sijui hata mapungufu yao but nahisi something missing yaani kama kubahatisha,wengine USA nao hivo hivo kama Costa Rica.
Utakuja kushangaa Costa Rica inaingia nusu fainali.
Viol yaani USA inabahatisha?Daaah yaani Portugal na Ghana wote wamekaa bado unasema inabahatisha?Hauoni soka hilo?
 
Last edited by a moderator:
ile sub walioifanya wareno imeua winga ya kushoto kabisa. wameingiza mtu mzito kama nyumba
 
Back
Top Bottom