World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bosh! #NED on course to top Group B with nine points. Quite a stage to score your first international goal, Leroy.
 
Hongeraaaaa!!

nipo na waingereza hapa wanasema hivi siye timu yetu kwanini haina wachezaji kama hawa wanaojituma? mwenzie kamjibu kuwa hivi katika ligi ya england kuna wachezaji wangapi wazuri unaweza kuwachagua waunde timu ya taifa?
 
Hilo nalo neno haswaaa!!
 
nipo na waingereza hapa wanasema hivi siye timu yetu kwanini haina wachezaji kama hawa wanaojituma? mwenzie kamjibu kuwa hivi katika ligi ya england kuna wachezaji wangapi wazuri unaweza kuwachagua waunde timu ya taifa?
Waingereza waifumue ligi yao ndio watawika katika mashindano makubwa.
 
nipo na waingereza hapa wanasema hivi siye timu yetu kwanini haina wachezaji kama hawa wanaojituma? mwenzie kamjibu kuwa hivi katika ligi ya england kuna wachezaji wangapi wazuri unaweza kuwachagua waunde timu ya taifa?
Sasa England watazuia ,timu zao kusajili wageni,kwa kisingizio kuwa wanaua vipaji vya wazawa
 
Robben asipokuwa mchezaji bora wa haya mashindano atakuwa kaonewa.
 
Back
Top Bottom