everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Vidole juu
Hongeraaaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidole juu
Goals in 2014 World Cup:
Torres 1
Fellaini 1
Nani 1
Rooney 1
Ronaldo 0
fainali wataingia ila kubeba chacha..
tatizo huwa hawa bebi ndoo tu..
Goals in 2014 World Cup:
Torres 1
Fellaini 1
Nani 1
Rooney 1
Ronaldo 0
Hongeraaaaa!!
ngojalabda msimu huu watashinda!!!
nipo na waingereza hapa wanasema hivi siye timu yetu kwanini haina wachezaji kama hawa wanaojituma? mwenzie kamjibu kuwa hivi katika ligi ya england kuna wachezaji wangapi wazuri unaweza kuwachagua waunde timu ya taifa?
Waingereza waifumue ligi yao ndio watawika katika mashindano makubwa.nipo na waingereza hapa wanasema hivi siye timu yetu kwanini haina wachezaji kama hawa wanaojituma? mwenzie kamjibu kuwa hivi katika ligi ya england kuna wachezaji wangapi wazuri unaweza kuwachagua waunde timu ya taifa?
Sasa England watazuia ,timu zao kusajili wageni,kwa kisingizio kuwa wanaua vipaji vya wazawanipo na waingereza hapa wanasema hivi siye timu yetu kwanini haina wachezaji kama hawa wanaojituma? mwenzie kamjibu kuwa hivi katika ligi ya england kuna wachezaji wangapi wazuri unaweza kuwachagua waunde timu ya taifa?
Ha ha ha haaah,,,,,,too late.Leo naona Spain wanaweka heshima bar
tushafanya yetu
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamholland]#teamholland [/URL] tunaongoza 1-0............