Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi itakuwa na magoli mengi sana na Neyma atakuwa mfungaji bora
Kweli Fred wa Brazil ni KILAZA. Inakuwaje yeye ndio 9 pale na kati ya goli 5 zilizofungwa na Brazil 4 zimefungwa na mtu mmoja tu.
Kweli Fred wa Brazil ni KILAZA. Inakuwaje yeye ndio 9 pale na kati ya goli 5 zilizofungwa na Brazil 4 zimefungwa na mtu mmoja tu.
Tembo vipi lipeni na hili.
Na ataondoka na Gozii lake
Hawana mfungaji hawa Brazil, Jo na Fred wote vilaza tu...
Neymar kwa moto huu atawafunika sana hata ma Legend wa Brazil. Now 35 goals for Brazil at the age of just 22yrs
Oscar leo hasomeki ! kameruni wanacheza mieleka.
Haiwezekani,,,,,