World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tanesco wameturudishia ila nimehamia bar yenye kajenereta hapa so sina wasi hata muhongo akikata tena
 
Huyu nae mjinga anaona refa yuko karibu yake yeye anapeleka mguu kutaka mvunja mtu
 
Marchisio


_75806041_marchisio.png
 
Nadhani refa Mmexico yuko too hard to Italians (bora wangempanga refa neutral kutoka CAF au AFC)
 
Back
Top Bottom