Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli team imecheza chini ya kiwango sanaa, kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa sana maana kwa mara ya pili mfululizo sasa tunatolewa kwenye group stages
Uruguay ilikua bahati yao na red card imewasaidia, sijaona kitu kwao zaidi ya goli ya Godin na Suarez kumuuma Chiellini
kafanyaje kwani
Ahsante Tanesco, ahsante Italy byebye.
Kawape hi mafia wenzako waliokuwa excommunicated...
cc; shifta Gang Chomba, bila shaka wataupata ujumbe wako,lol!
kafanyaje kwani
Km GHANA wakipita basi ndio Mabingwa wapya wakombe la Dunia...sijaona timu inayokiputa km hiyo wengine wote wanaamka na bahati za mababu zao..
Prandeli alifanya makosa kuwaacha kina Rossi au Toni.Ile game ya Costa Rica ilikuwa ya kushinda
Kamng'ata mtu.
Kala nyama ya kwenye bega ya binadamu aisee..
Ghana mabingwa wa world cup? Najitoa JF ikitokea hivyo.......!!
Suarez ndiyo ishakuwa habari Uingereza..magazeti hayataipa uzito habari ya timu yao kurudi nyumbani..dadeki..
Headlines hizo kutoka magazeti ya UK:
1. Oops! He has done it again!!
2. Suarez's vampire bite send Uruguay to the last 16.
3. Inexplicable act by the Uruguay's talisman.
4. Suarez: "I love a sweaty and tangy shoulder mash with pudding".