World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

suarez hajamuuma kilichotokea alipigwa kipesi kwanza naye akajibu wa kupiga kichwa beki kwa kujitetea naye karudisha kwa lakini wakati huu kwenye mdomo na kilichotokea ndicho hicho

Duh! Wewe utakuwa nazi la loserfools!! Huyu ni popo mnywa damu, hiyo ndio tabia zake... ImageUploadedByJamiiForums1403636039.445553.jpg
 
Prandeli amewahi chukua scudeto?

No but kama unamfukuza Prandeli unapaswa kuleta kocha ambaye tayari ana uzoefu kuchukua ubingwa kama Anceloti au Conte sio kurudi nyuma tena
 
Daaah mkuu hii too edited, worst vampire bite daaah

Suarez is a disgrace to football...have you seen Chiellini's testimony in Sky Sports Italia? The cards are in FIFA's table now...we shall see if FIFA has the guts to ban Suarez!
 
No but kama unamfukuza Prandeli unapaswa kuleta kocha ambaye tayari ana uzoefu kuchukua ubingwa kama Anceloti au Conte sio kurudi nyuma tena

Me nadhani tunahitaji damu changa Mkuu
 
Suarez is a disgrace to football...have you seen Chiellini's testimony in Sky Sports Italia? The cards are in FIFA's table now...we shall see if FIFA has the guts to ban Suarez!

Wakimuacha WC itaisha na mapungufu mengi sana
 
Punguza ushabiki Suarez ndio alianza kumngata Chielini wakati anachomoa mkono ndio akamgonga

Hii ni Mara ya 3 Suarez anafanya kitendo kama hicho

NIEWAWEKEA VIDEO HPO MUONE MAAANA WENGINE MNAANGALIA PHOTOSHOP TU HAPA

Last edited by a moderator:
Watu wa media wanavyoshikia kidedea hii issue ya Suarez, sidhani kama atapona kwenye hii issue
 
NIEWAWEKEA VIDEO HPO MUONE MAAANA WENGINE MNAANGALIA PHOTOSHOP TU HAPA

Angle ya video yako haitoi taswira kamili ya kilichotokea, leta za angle zote Mkuu
 
Last edited by a moderator:
NIEWAWEKEA VIDEO HPO MUONE MAAANA WENGINE MNAANGALIA PHOTOSHOP TU HAPA

Nimeangalia mpira na nimeona reply zote.Why Chielini ampige kiwiko while mpira ulikuwa upande mwingine,kama uliona Suarez alivyomng'ata Ivanovic inafanana na hii ya leo.Suarez ukimkaba man to man huwa anapanic sana ndio kilichotokea leo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna anakubali hiki kitendo lakini media za england badala ya timu yao kuondolew hiki ndicho kimebaki kwao.

angalia nyingine hiyo kwa ukaribu

World Cup Live | Grabyo

Sina uwezo tu wa kuweka video na hiki kimeo changu, ila ipo angle inaonesha vizuri kabisa Suarez akimtia jino Chiellini.
Halafu kumbuka hii ni mara ya tatu anafanya hivi, iko kwenye damu ya huyu mburula tabia ya kung'ata watu
 
kashawaambia waandishi wa habari uruguay kwa sasa wanesherehekea ushindi kwenda 16 bora.
 
Back
Top Bottom