RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Aguero tayari pancha! bado MESSI....
#TeamNigeria
#TeamNigeria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisapoti tu! kwani wanaigeria wamewahi kutushangilia Tanzania!
#TeamNigeria wanajituma sana....hata wakifungwa sio kwa uvivu ila kwa kuzidiwa ila wanajituma sana kwa hilo nawasupport leo na wakipita,hawana ma-star kama ivory coast lakini tunaona juhudi zao leo na mechi iliopita!
huyu Messi nae anataka sifa!!!
Miafrika bana!Unajua kabisa Messi yupo ndani bado unafanya faulo za ajabu kabisa tena karibu na goli lako!You have to avoid unnecessary mistakes like these!Piga little magic messi washike nafasi ya pili
Ronaldo - Packing to go home
Rooney - Already at home
Suarez - About to be put down
Pirlo - Drinking wine
Messi-???
Miafrika bana!Unajua kabisa Messi yupo ndani bado unafanya faulo za ajabu kabisa tena karibu na goli lako!You have to avoid unnecessary mistakes like these!
Anaondoka na mpira wake leo