World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

#TeamNigeria wanajituma sana....hata wakifungwa sio kwa uvivu ila kwa kuzidiwa ila wanajituma sana kwa hilo nawasupport leo na wakipita,hawana ma-star kama ivory coast lakini tunaona juhudi zao leo na mechi iliopita!

Sana kwakweli hawa vijana wa Keshi wanajitahidi na ushirikiano upo Go go go Super Eagles..!!
 
Ronaldo - Packing to go home
Rooney - Already at home
Suarez - About to be put down
Pirlo - Drinking wine
Messi-???
 
Piga little magic messi washike nafasi ya pili
Miafrika bana!Unajua kabisa Messi yupo ndani bado unafanya faulo za ajabu kabisa tena karibu na goli lako!You have to avoid unnecessary mistakes like these!

Anaondoka na mpira wake leo
 
Ronaldo - Packing to go home
Rooney - Already at home
Suarez - About to be put down
Pirlo - Drinking wine
Messi-???

argentina lazima ashinde maaana aiposhinda atakutana na France na wao hawataki hiyo
 
Miafrika bana!Unajua kabisa Messi yupo ndani bado unafanya faulo za ajabu kabisa tena karibu na goli lako!You have to avoid unnecessary mistakes like these!

Anaondoka na mpira wake leo

Upo mkuu...! Twende pamoja

Bosnia anatusaidia kwenda 16 bora hatuna hofu
 
Back
Top Bottom