Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hongera Nigeria #teamafrica
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu argentina point 6 nag point 4 ءwengne 3 na 1
waungwana jukwaa la siasa kuna msiba nanyi mmesikia? nataka kufahamu kama ni kweli
hongera Nigeria #teamafrica
Too late kwa gamu ya leo...
Hongera Nigeria..
This wasn't simply a Messi show. This was Ahmed Musa's grand entrance into the biggest stage in world football.
Nigeria wakicheza na timu kubwa wanabadilika hadi unashangaa.....
This wasn't simply a Messi show. This was Ahmed Musa's grand entrance into the biggest stage in world football.
Wapo huoni wanacheza na mamba wamepaka shedo
Afadhali Nigeria kaingia 16 bora,sasa tunamsubiri France,Ecuador au Switz
Kwakweli huyu jamaa Musa ni mkali sana na leo kawa man of the match.
asante .. mbona hujaonekana kabisa leo au uliogopa pressure?
Africa kichwa cha mwendawazimu.
waungwana jukwaa la siasa kuna msiba nanyi mmesikia? nataka kufahamu kama ni kweli