World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Na jinsi league inavyozidi kushamiri na football kuwa mchezo unaoanza kutoa ushindani mkubwa kwa American Football na Baseball si muda mrefu ujao USA itakuwa ni moja ya timu za kuogopewa duniani.

Wamarekani wanajua kushabikia timu yao bana...hadi raha.

soccer_watch_kc.jpg
 
Campbell claims FA racism blocked England captaincy | Reuters

Vivek Chaudhary reported in The Guardian of 24 January 2004 that a former England manager had "alleged that during his tenure he was told by senior FA officials not to pick too many black players." The manager, Chaudhary wrote,"claims that he was called into an office where two senior FA officials were present and they told him that his England team should be made up of predominantly white footballers."

http://www.englandfootballonline.com/TeamBlack/Black.html

Siwezi kusema ni ubaguzi au nini. Nawaachia wenyewe na maamuzi na mapendezeo yao, labda wanataka wabebe au wafanye vizuri kwa England born players.
 
Algeria wanacheza soka saafi sana!Wengi mtanicheka nikisema Germany wapo kwenye trouble siku inacheza na Algeria!

Hatucheki we are team africa ushindi ni wetu always ni vizuri jujipa matumaini hata mungu mungu hawapendi viumbe wenye kukata tamaa
 
Na jinsi league inavyozidi kushamiri na football kuwa mchezo unaoanza kutoa ushindani mkubwa kwa American Football na Baseball si muda mrefu ujao USA itakuwa ni moja ya timu za kuogopewa duniani.

Aisee kiwango cha soka cha Marekani kimepanda sana. Miaka 20 ijayo wanaweza wakawa moja ya timu bora kabisa duniani.

Kwa upande wa wanawake timu ya Marekani ni moja ya timu kali duniani. Kama sikosei wameshashinda kombe la dunia mara mbili.

Matunda ya soccer moms tutaanza kuyaona muda si mrefu. Kwanza mi naona yameshaanza kuonekana.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na jinsi league inavyozidi kushamiri na football kuwa mchezo unaoanza kutoa ushindani mkubwa kwa American Football na Baseball si muda mrefu ujao USA itakuwa ni moja ya timu za kuogopewa duniani.

Mkuu!
Hapo Nacadoche-Texas mji anaotoka Dempsey ni vurugu tu!Maelfu ya Wamarekani wapo mitaani muda huu kushangilia kufuzu kwao huku wakinywa na kucheza wakimsifu kijana wao Dempsey
 
Matunda ya soccer moms yameanza kuonekana na jitihada zao za miaka nenda miaka rudi ndizo zilizoufanya mchezo wa mpira wa miguu upate umaarufu mkubwa US, kuanzia sasa kwenda mbele ni mavuno tu.

Aisee kiwango cha soka cha Marekani kimepanda sana. Miaka 20 ijayo wanaweza wakawa moja ya timu bora kabisa duniani.

Kwa upande wa wanawake timu ya Marekani ni moja ya timu kali duniani. Kama sikosei wameshashinda kombe la dunia mara mbili.

Matunda ya soccer moms tutaanza kuyaona muda si mrefu. Kwanza mi naona yameshaanza kuonekana.....
 
Siwezi kusema ni ubaguzi au nini. Nawaachia wenyewe na maamuzi na mapendezeo yao, labda wanataka wabebe au wafanye vizuri kwa England born players.
muda mwengine kweli kila Nchi Ina haki Yao tukumbuke hata Taifa Stars tuna matatizo ya kuchukuwa Players Visiwani au Club zengine isipokuwa Yanga na Simba siku hizo ndio Azam majina ya a Simba na Yanga ndio yanaumiza vichwa wapo wahindi wazawa Tanzania japo sio wengi ila ni muda angalau tanzanian wakidosi achezee Taifa stars! Tuangalie na kwetu Kabla kupigia watu Kelele tizama South Africa wanao wazungu sababu Nchi Yao inao wazungu wa Kiafrica, Tanzania hata Zaramo Arabs za Kitanzania hazipewi nafasi itakuwa Wadosi? Tunachaguliwa wakina sisi tu Wakurya na Wazaramo huu pia sio ubaguzi?
 
1.5Ivory coast
Watu wengi walilaumu ile penati lakini ukiangalia utaona matatizo mengi ya ivory cost mfano
-kwenye mechi zote tatu za makundi mid field walifanya makosa yale yale ya kupoteza mpira eneo la hatari na kufungwa na hakuna marekebisho yaliyofanyika.
-walikuja na mtindo wao ule ule wa kuacha kucheza kitimu na kila mmoja kutumia uwezo wake mfano ulikua ukiona uchoyo wa kutoa pasi wa gervinho na kalou.
-kupanga majina na kuacha watu wenye uwezo, wachezaji kama drogba, zokora na hata kalou kiwango kimeisha lakini wakawa wanawapanga tu, lakini wakaacha kuwangepanga wachezaji kama bony, ambao wangecheza na vijana wenzao wenye njaa ya mafanikio kama sergi aurier au didier Ya konan tungeweza kuona mafanikio.


2.Ghana
-ukiangalia ghana nao ni matatizo yale yale ya kwanza kupanga majina, ukiangalia mchezaji kama gyan asamoh huwa anakosa magoli mengi ya wazi ambayo midfield ya ghana huwa inayatengeneza lakini anapagwa tu na hata substution hafanyiwi na mara nyingi unakuta wanaocheza dakika chache kama ayew brother ndo wanakuja kufunga magoli
-siasa kwenye mpira, ukiangalia mechi ya mwisho walikuwa washawatimua muntari na prince-boateng ila ugomvi mkubwa ni masuala ya posho na kuhudumia timu, maana inasemekana wachezaji wa ghana walikuwa wanadai posho ya dola milioni 2 ambayo ni kama yale mambo ya cameroon


Sasa haya mambo yanakuwa yakijirudia worldcup zote lakini sisi waafrica tunasema tunaonewa tunaonewa nini na wakati timu zetu zimejaa mambo niliyoyaeleza hapo juu, watu wengine wanalaumu lile tukio la suarez kunawa mpira south, ivi kwa mfano ingekuwa ni taifa star inacheza wewe ni beki unaona kabisa mpira unaingia nyavuni ungeuacha kwa sababu ya fair play kuliko kurisk penati..?nilimsikia issa hayatou akisema wanataka timu kutoka africa ziongezwe nikajiuliza kuna haja kweli kama hizo zilizopo zenye CAF wanashidwa kuzisimamia na kutoa ushauri..!
NB: Modes naomba msiunganishe huu uzi ili tuweze kuchambua mambo kwa mtazamo mwingine
 
Game over. Asante Algeria

RIA; NIGERIA, ALGERIA! AHSANTENI BI RIA! Bila hao RIA wawili, Africa kwishney! Katika 16 bora, Africa imebakiza team mbili pekee, je Ulaya zimebaki ngapi, Asia ngapi,Amerika Kusini ngap, Australia, Amerika Kaskazini ngapi? Kwa ujumla, team zilizofuzu 16 bora ni zipi kwa majina? Tunaomba kujuzwa kama kuna mdau ana full list kimakundi.au kwa kila bara.
 
Unaijua histořia aliyoweka asamoah kwenye wc kwa nchi za aftika au unalaumu kwa kufuata mkumbo anahangaika sana jamaa kwa kifupi ni fowatd anayefaa! Gevinho?..kama unamlaumu hata getvinho basi utakua una matatizo. Style ya gervinho ya kuingia kwenye boksi ndiyo iliyokuwa inatakiwa kutumiwa na timu zote za aftika badala ya kutumia krosi ambazo wwatumiaji hawapo na hawafuati mipia juu. Tatizo nililoliona mimi ni kutojituma tu basi inashangaza sana kuona pirlo na anahaha uwanjani lkn dtogba na etoo wanatembea tuu uwanjani. Kuhusu posho sizani kama ni sababu kwa kuwa kila hatua unayopita unapewa fungua kutosha na fifa sasa hivyo vi posho wanavyodai vitawafikisha wapi. Update. Algeeia wamefuzu naona mtoa uzi hukuwagusia kbs
 
Back
Top Bottom