HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hivi ingekua vipi kama angeweza kufikia japo robo tu ya Zizzu?
Hao wote Ronaldo kawashinda kwa Personal Awards wao wamemshinda kwa kupata Kombe la dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ingekua vipi kama angeweza kufikia japo robo tu ya Zizzu?
Angetembea na boxer huyu mji mzima.
Hao wote Ronaldo kawashinda kwa Personal Awards wao wamemshinda kwa kupata Kombe la dunia.
lolote linaweza tokea maaana katika timu za afrika aljeria haikupewa nafasi kabisa kusonga mbele . kwasasa wanajiamini kuwa ndiyo muda na wao kuandika historia
hahahaha wametoka aseenasema na watoke tu. hahahahaha
ndomana utaona mbunge wa Kihindi mwenye Uraia wa Tanzania anashambuliwa na wakati anasaidia kijiji kuliko sie weusi Utasikia sio Mtanzania halisi mambo haya yangekuwa Marekani watu wangepiga Kelele ubaguzi tunaona kwa Walatino wa Kimarekani ila sie hatuoni Kama kuna ubaguzi mpaka afanyiwe mweusi. tanzania lazima ikazanie football kwa rangi zote ila tu mchezaji awe wamaana tusisumbuke sana Yanga na Simba zenye kuharibiwa wachezaji na wafazili Wenye pesa za kuchezea wanawapa wachezaji pesa za ovyo akija Taifa stars ovyo.Umeongea ukweli mkuu. Sisi wabongo hatuwahesabu Wahindi, Waarabu au hata Wabongo mashombe (sijui kuwaita hivi ni political correct au) kuwa ni watanzania wenzetu hata kama walizaliwa na kukulia next door, ingawaje na wao wenyewe sometimes huwa hawajihesabu ni Waafrika/Watanzania hii nimeshaiona kwa Wahindi toka Tanzania walio huku Ughaibuni. Hivi kina Anwar Aziz aliyechezeaga Yanga enzi zile aliwahi kuitwa Taifa Stars? Pia kumbuka tulivyomshambulia yule miss Tanzania wa asili ya kihindi kuwa halipresent sura za mademu wa kitanzania. England wanachofanya kinaweza kuwa kinakwendana na Policy yao kitu kinachoweza kutafsiriwa kama ubaguzi au haki kulinganisha na nani anayetafsiri. Hivi Ekoku(mtangazaji wa TV) si alibadilishaga uraia toka Nigeria kuwa England akitegemea kucheza World Cup 1994 afu England wakashindwa kukwalifai au alikuwa Mnigeria mwingine?
Kuhusu timu za ulaya ntaleta mtazamo wake...huu ni mtazamo kuhusu nchi za africa na sola la africa umesoma uzi vizuri great thinker..?Mtoa uzi ni mtu ambaye hajui mpira; ila ni mshabiki wa matokeo tu. Kwa nini asijadili kuporomoka kwa soka la Ulaya?
England, Spain, Portugal wote wametoka raundi ya kwanza...
Huu ni uchambuzi wa kitoto sana. Hasa ukizingatia JF HOME OF GREAT THINKERS.
Kama umeangalia kwa umakini gyan asamoh amekusa magoli ya wazi mangapi mwaka huu..mimi nimeona magoli mawili mechi ya matatu mechi ya ureno na goal moja mechi ya ujerumani na hajaanza leo kukosa magoli ambayo yanaicost ghana..!!Kumbe wewe huwa huangalii mpira:
Ghana wamefunga magoli 4 kwenye kombe la Dunia mwaka huu; Wafungaji wa magoli hayo ni:
1.Asamoah Gyan = 2.
2. Andre 'Dede' Ayew = 2.
Niambie sub gani aliyeingia na kufunga goli. Acha uzushi wewe.
Kuhusu timu za AFRIKA kutolewa; si ajabu hata za ULAYA zimetolewa, tena nyingi tu.
1.England
2.Bosnia
3.Italia
4.Urusi
5.Ureno
6.Hispania
Italy..team yako ilikua ipi shemeji
Brazil...jamani napenda kujua mshindi wa kwanza Group A kati ya Brazil na Mexico!! PLZ
Kabla ya kwenda mbali sana... Kuna mdosi gani hasa hapa Tz anacheza football? Wahindi wa Tz waliwahi kuwepo sana kwenye timu za Taifa kwenye michezo Kriketi na hockey, ambayo ilikuwa ni nadra kukutana na Mtz mbantu!...tanzania lazima ikazanie football kwa rangi zote ila tu mchezaji awe wamaana tusisumbuke sana Yanga na Simba zenye kuharibiwa wachezaji na wafazili Wenye pesa za kuchezea wanawapa wachezaji pesa za ovyo akija Taifa stars ovyo.