World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kapita kindondokela mkuu. Hii ilikaribia ile mechi kati ya Man utd vs Chelsea CL final Urusi

Ambayo Chelsea alistahili kushinda eh? Uliona mpira kweli wewe? Maana nasikia bongo umeme ulikatika nchi nzima kwenye mechi ile!!
 
Ndo manake chile bahati hikua yao....mpira brzil ya mwaka huu tukubali tu mpira hawajui

Mpira kwa matokeo yake unayajua?!? Kushinda, kushindwa ama droo!! Sasa Brasil wamefanyaje?!
 
Haki imetendeka.timu iliyocheza soka zaidi ndio imepita.Chile hawakuwa na jipya zaidi ya kupaki basi.ila ni lazima timu zenye kutandaza soka uwanjani zitafute namna ya kudeal na kupaki basi manake huu mchezo umekuwa ukiziumiza timu nyingi nzuri,mtu analinda goli muda wote halafu anakupiga kwenye matuta,hii sio fair!ningechukia kama Chile wangepita kwa soka ya kulinda goli 24/7.hongera Brazil,but..120 minutes, struggling to score?!napata mashaka!anyway,labda sababu ya treni la Chile!let's wait and see.
 
Tumekufa kiume Team Chile
images

Mkuu mmekufa "kiume" sasa nyumbani majukumu yatatatuliwa vp?????
 
Back
Top Bottom