Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Refa ana chuki binafsi n
a Holland
mwache tu.lakini ajue mexico wanatolewa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa ana chuki binafsi n
a Holland
Game imeboa sana.....
Hehehehe kutoka Sigara mpaka kinywaji cha pombe ya kienyeji ya Mexico Tequila heheh Leo utavuta na kuzinywa saa tehtehteh dk 70 wataomba time out tena Holland wataambiwa time out yenu imeisha ombeni mkopo ya Mexico.Wakishinda Mexico najipiga ban ya shots za Tequila hadi WC iishe...
mkuu angalia usije angusha chupa na glasi hapo
Yaani pamoja na mbwembwe zote za kushinda goli 5 dhidi ya Spain na kumwaibisha sana leo wanacheza kama wanaenda wameshinda kombe tayari
Hao mexico ndo wataondoka leo
Timu ya jana ishapita leo nipo tu
My predictions Netherlands wanaondoka leo!