World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama refa anatoka Ulaya basi tunaweza kuingiza Conspiracy theory zetu za uswahilini mida hii.... Come on, refa gani anatoa kadi za kipuuzi kama hizi kwa the underdog.
 
Refa anastahili hii ┌∩┐┌∩┐┌∩┐ inaonyesha dhahiri anawatafutia goli hawa mabaharia wa zamani.
 
Come on Costa Rica msipoteze mipira hivyo.... dk zimebaki chache, possessions ndo jambo la muhimu muda huu.
 
Kulaleki jamaa wamesawazisha dk ya mwisho..... ngoja nkalale ntaangalia matokeo. Costa Rica wamekwisha sijui kama wata survive hata kama wataongezewa dakika 30.
 
Ohh Mabaharia wamechomoa

Kucheza pungufu kwa Costa Rica kutawaathiri kwenye Extra Time.
 
Oh oh! Navas, kipa wa Chile kaumia! Mbona itakuwa balaa akishindwa kuendelea!!
 
Sıdhanı kama kutakua na penalt hapa!!extra tıme ngoma ıtaısha
 
Back
Top Bottom