Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Costa Rica vipi tena wanapandaje wote wakati wapo wachache uwanjani na wanaonekana wamechoka kulinganisha na Greece
namuona Paulo Wanchope anawahamasisha vijana wa Costa Rica.
wajitahidi kumiliki kidogoGreece watashinda muda si mrefu.. CR wamechokaaaaa
Mkuu huyu jamaa alitisha 2006 hasa mechi ya ufunguzi na Germany japo walilala 4-2 lakini alitupia hizo 2 peke yake kama sikosei.
Ukiwa unashambuliwa kama hivi dakika tatu zinaonekana kama kumi.
Matuta sasa ndio mpango mzima
Matuta sasa ndio mpango mzima
Muda wa lawama umefika sasa.