World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna mechi moja niliona partnership moja ya Senderos na Djourou ilikuwa ngangari kinoma, ndio inasemekana ni bora kuliko zote so far

Cc RRONDO

Hiyo mechi ilikuwa ya World cup hii au ilikuwa ni qualification?

kwahio WENGER chizi??

cc: rubaman

Lol Wenger ni genius wa ku-spot talents toka pande zote za dunia. Subiri uone vifaa atakavyoleta baada ya wiki 2 hivi. Old Trafford mtazidi kuuziwa mbuzi guniani mfano jana nimesikia Fergie alivyochemka badala ya kumchukuwa James Rodriguez akamkimbilia Bebe sijui aliona nini? Then angalia The chosen One alivyowaletea Fellaini akitegemea eti atakuwa namba 10 bora ya kina Rooney, LVG ataendeleza ugonjwa huu, subirini mtagundua
 
ni kweli nilikuwa nangalia lyrics zake hapa wao wanasifia mvinyo wao

Ayaaa!ha ha haa!duh!wakati hiyo hymn ina lyrics za kidini kama "glorious things of thee are spoken,zion city of our God,he whose word can not be broken...",wao wanasifia mvinyo ha haa!hiyo kali.sijui wenyewe "wenye nyimbo" zao wakisikia watu wanaimbia mvinyo wanajisikiaje!na kule Germany ndio waprotestant wenye wimbo wao wamejaa!
 
Hiyo mechi ilikuwa ya World cup hii au ilikuwa ni qualification?

Lol Wenger ni genius wa ku-spot talents toka pande zote za dunia. Subiri uone vifaa atakavyoleta baada ya wiki 2 hivi. Old Trafford mtazidi kuuziwa mbuzi guniani mfano jana nimesikia Fergie alivyochemka badala ya kumchukuwa James Rodriguez akamkimbilia Bebe sijui aliona nini? Then angalia The chosen One alivyowaletea Fellaini akitegemea eti atakuwa namba 10 bora ya kina Rooney, LVG ataendeleza ugonjwa huu, subirini mtagundua

mkuu mi nazungumzia wc...jinsi nilivyoona defense mechi za leo!!!
 
kwani algeria sio waarabu? ni waswahili? unashangaza sana.

kidogo tu Germany tuwatungue hawa waarab. Germany oyeeeeee!

Ww ndiyo washangaza sana mkuu kuwaita Algeria waarab koko!Ndiyo maana nikasema kasome historia ya Algeria hasa "Bedouin family"!Kizazi cha Mtume Muhammad kipo ALGERIA leo wawaita Arab koko?
Anyway tuangalie soka mkuu na tuchambue pia
 
Hiyo mechi ilikuwa ni Switzerland vs France ilichezwa tarehe 20/06/2014

Performance ilikuwa ni hali ya juu sana kwa partnership hiyo

Matokeo yake ninahisi unayajua
rubaman
 
Last edited by a moderator:
Ayaaa!ha ha haa!duh!wakati hiyo hymn ina lyrics za kidini kama "glorious things of thee are spoken,zion city of our God,he whose word can not be broken...",wao wanasifia mvinyo ha haa!hiyo kali.sijui wenyewe "wenye nyimbo" zao wakisikia watu wanaimbia mvinyo wanajisikiaje!na kule Germany ndio waprotestant wenye wimbo wao wamejaa!

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Deutsche Frauen, deutsche Treue,[/TD]
[TD="align: left"]German women, German loyalty,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Deutscher Wein und deutscher Sang[/TD]
[TD="align: left"]German wine and German song,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Sollen in der Welt behalten[/TD]
[TD="align: left"]Shall retain in the world,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Ihren alten schönen Klang,[/TD]
[TD="align: left"]Their old lovely ring[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Uns zu edler Tat begeistern[/TD]
[TD="align: left"]To inspire us to noble deeds[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Unser ganzes Leben lang.[/TD]
[TD="align: left"]Our whole life long.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Deutsche Frauen, deutsche Treue,[/TD]
[TD="align: left"]German women, German loyalty,[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Deutscher Wein und deutscher Sang[/TD]
[TD="align: left"]German wine and German song.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hawa wajerumani waliingia kichwa wakidhani mechi itakuwa rahisi sana kwao lakini kipindi cha pili wameamka angalau
 
Back
Top Bottom