Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo tena mjiandae kisaikolojia...Fact: Nine of the last 10 world cup teams to advance after playing extra time were eliminated in next round
Should Brazil, Costa Rica, German, Belgium & Argentina be worried?
Ndio hivyo tena mjiandae kisaikolojia...
Mkuu Brazil tukitolewa WC hati hati kwa maandamano kuongezeka itabidi Fifa watubebe hadi final kama vipi
yaaah.ila ntakuwa na wakat mgumu mechi ijayo na Argentina. sijui ntachagua ipi.....ila nadhan nmeanza ku fall in love na wabelgiji aisee!!!
bahati ina sehemu yake kwenye mashindano haya pia
Hapana mkuu, brazil ikitolewa angalau mashindano yatakua huru, hakutakua na kubebana yaani hata wachezaji na marefarii watakua huru kabisa.
Mkuu naona umefail mapema sana!! Ulisema Argetina Vs USA ila naona ni Argetina Vs Belgium
Sijui nikuwekee dau mechi hio....?maana naona una hamu ya kutengana na hela zako!Mdachi huyu aliyetepeta kwa Mexico hadi kupita kwa penati ya"msukule"?Hamna mechi itakayokuwa rahisi kwenye robo fainali kama ya Costarica na Mdachi hasa alipoumia De Jong!
Joe Campbell hawaachi hawa wachovu
bahati ina sehemu yake kwenye mashindano haya pia