Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Which ones?
can't list all of them here nitakesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Which ones?
Watatolewa na Brazil muda si mrefuyaani rais wa Columbia katangaza leo siku ya mapumziko ili wananchi wake waweze kutizama kandanda la vijana wao
Watatolewa na Brazil muda si mrefu
yaani rais wa columbia katangaza leo siku ya mapumziko ili wananchi wake waweze kutizama kandanda la vijana wao
Bye Bye Colombia,Brazil amtoe Germany
Bye Bye Colombia,Brazil amtoe Germany
mie niko Colombia hapo baadae
leo brazil anakibarua kigumu sana. andaa glucose kabisa pembeni
hahahahahhajuice ya miwa itamfaa, hayo maglukoz makali mno
Ndio maana tukawa wake wenza. Hatuwezi kuwa pamoja kwenye mengi eeeh?
#teambrazil #
hahahahahha
Team Colombia hapa
wenzetu huko wanautaifa na uzalendo kwa kwenda mbele.