Nani anashinda hapa??
![]()
Huyu jamaa aliyeko mkono usiyo wa kuume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anashinda hapa??
![]()
juice ya miwa itamfaa, hayo maglukoz makali mno
yes, juice ya miwa ina optimal gram per mole of sugar kuliko hayo maglukoz.
Seconded by Skype in here.
mambo ya molarity na molar mass
Enzi hizo tumekariri MaVa/MbVb=1/2
I can't wait much muda unaenda pole sana airplane ya Colombia inasubiri watu wake
Goodbye my hero James Rodriguez
#teamNeymar
#teamBrazil
No thank you,nimeshaipata kwa France,now Brazil lazima wanipe usingizi mzuri kwa kweliMkuu would you mind my saying "pole" to you in advance?
Na wewe upo Colombia,mliwaonea kina grece na kina Yaya toure,leo ni leoleo brazil anakibarua kigumu sana. andaa glucose kabisa pembeni
Miss u mamii, afadhali leo umekuja. Pamoja [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambrazil]#teambrazil [/URL] #
Ngoja baadae nyie ndo mtakaohitaji hivyo vimiminikoyes, juice ya miwa ina optimal gram per mole of sugar kuliko hayo maglukoz.
kweli tumeshakuwa wazeee sasa
hahahahhaa mnanikumbusha Volumetric analysis,wapi MkandawileEnzi hizo tumekariri MaVa/MbVb=1/2
Ngoja baadae nyie ndo mtakaohitaji hivyo vimiminiko
Umeona ee? Ukija kwenye mambo ya Reflective Index of the glass block unaweza ukafa kabisa kama wafaransa na La place transform ktk kupangua differential equation huko mbele mbele ya safari hahaaa
hahahahhaa mnanikumbusha Volumetric analysis,wapi Mkandawile