World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Colombia leo hoi bin taaban ... utafikiri walibwia kabla ya mechi
 
Ama kweli home fans ni mchezaji wa 12, hizi kelele za Wabrazil zinawapa pressure fulani Wachezaji wa Colombia.
 
Game tamu hii na Brazil wanapeleka mashambulizi, goli la pili linanukia hapa.
 
Back
Top Bottom