World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Fernadinho atawafungisha, .. anatoa free kicks nyingi
 
Huu mpira si mchezo,ule wa France na Germany ulikuwa wa kitoto,huu kwa kweli wachezaji watalala hoi bin taaban Go Davdi Luiz my favorite!


Ufaransa wameharibu sana mchezo ule, ugerumani walikuwa active lakin ufaransa ovyo
 
Sema leo Scolari kachemsha kumuanzisha Maicon, keshazeeka huyu..labda kama D. Alves ni majeruhi..
 
Nilikuwa sisemi kuwa anaibeba Brazil nilikuwa nazungumzia pale palipotokea kijiugomvi afu Colombia wakaanza mpira upesi upesi, kabla refa hajatuliza fujo refa alitakiwa kuusimamisha mpira then akatawanyisha wachezaji wa pande mbili. Waliosema upendeleo ni wengine mkuu.

Asante kwa ufafanuzi ndg.
 
Huyu refa yupo very easy to be influenced, hii free kick ya Colombia(karibu na kumi na nane) isingetolewa kama refa angekuwa mwingine.
 
Wana timu nzuri sana hawa wakulima wa kahawa na uwezo mkubwa wa kuziona nyavu, ndio maana nimesema kuna kila sababu ya kuongeza goli nyingine mbili za haraka haraka kama siyo zaidi ili kuwamaliza nguvu.

Umeona eee? Yaani hata nami ntapumua wakitupia la pili na 3,bado hali si hali,biashara asubuhi bana.....!!!
 
Back
Top Bottom