Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mpira si mchezo,ule wa France na Germany ulikuwa wa kitoto,huu kwa kweli wachezaji watalala hoi bin taaban Go Davdi Luiz my favorite!
Mourinho wapi ulipo sheikh?
Mie nipo kidali wazi naimba Zapata Zapata Zapata...
Nilikuwa sisemi kuwa anaibeba Brazil nilikuwa nazungumzia pale palipotokea kijiugomvi afu Colombia wakaanza mpira upesi upesi, kabla refa hajatuliza fujo refa alitakiwa kuusimamisha mpira then akatawanyisha wachezaji wa pande mbili. Waliosema upendeleo ni wengine mkuu.
Duhhh....Kumbe upo team Colombia...?
Hii ndo Brazil tunayoitaka...
Wana timu nzuri sana hawa wakulima wa kahawa na uwezo mkubwa wa kuziona nyavu, ndio maana nimesema kuna kila sababu ya kuongeza goli nyingine mbili za haraka haraka kama siyo zaidi ili kuwamaliza nguvu.
Najua hii ni bonge la mechi hata kukoment hapa JF ni kazi bado hofu juu atleast wakitupia na pili na tatu .
acha apewe ila watakutana na germany teamgermany#
Niko kwenye team ambayo. nahisi 90% itakua na maumivu
akipata nafasi ndani ya 18 utamsikia kazi yake. ndiyo anaongoza kwa sasa akiwa ameshafunga magoli 5
Ujerumani hakuna kitu...watakalishwa na #teamBrasil vibaya sana...
Fernadinho atawafungisha, .. anatoa free kicks nyingi
Baada ya dakika 60, msikimbie jukwaa...Jiandae Kisaikolojia..