Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika!
Umemsahau na Buruchaga!
Kikosi cha akina Diego Armando Maradona kilikuwa kikali mno siyo kama hiki cha akina Messi.
Eti nathikia cothta richa atamuumbua mtu,eti ni kweli?!
Costa Rica piga hao nyang'au Holland
Mkuu sijui nimemsahau vipi mnyama huyu Burruchaga!Argentina hii hata Maradona asipo cheza walikuwa wanashinda!Sasa mtoe Messi hii uone hata kama mtavuka hata mstari wa katikati!
Messi ni balaa kijana huyu
Eti mtu mpira unaanza tu tayari unaye mshindi kwa sababu tu ama unaipenda timu au unampenda mchezaji moja ama wawili wa timu hiyo...kama mwana michezo huo ushabiki mimi sina. Naangalia na kufuatilia kambumbu linavyosakatwa na utamu wa kandanda ni goli...siwezi kushabikia timu huku hata goli hawafungi, huo ni zaidi ya ushabiki. Wakati mwingine hata wachezaji wazuri wanaweza wakachafua hali ya hewa!imebidi niwe ninabadilisha Channel tofauti tofauti ili kuhakikisha kuwa ninangalia mpira sawa na baadhi ya wakuu wa hapa {SS NA TBC}
Mkuu Haya maneno yako uta Ya simamia?Nitajitoa JF
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Nitajitoa JF
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app