World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Katavi kunani tena? mbona wapewa pole!

DEMBA unapaswa ufaham kwamba tangu tumeanza mashindano, tim atakayoshabikia Katavi hufungwa.

Hakuna tim aloshabikia imefanikiwa kushinda mchezo kwa hii world cup 2014, najana Katavi alijifichaficha

mwishowe akasema ukweli anashabikia Costa Rica tukamwambia baasi costa wametoka na kweli costa rika wameaga.

Hivyo anapewa pole [MENTION]Katavi[/MENTION].
 
Last edited by a moderator:
Fainali ya ajabu July 13!
Huku Messi kule Hulk
Bonge la fainali na nina imani kama nilivyosema zamani Messi analipeleka kombe Buenos Aires
 
DEMBA unapaswa ufaham kwamba tangu tumeanza mashindano, tim atakayoshabikia Katavi hufungwa.

Hakuna tim aloshabikia imefanikiwa kushinda mchezo kwa hii world cup 2014, najana Katavi alijifichaficha

mwishowe akasema ukweli anashabikia Costa Rica tukamwambia baasi costa wametoka na kweli costa rika wameaga.

Hivyo anapewa pole [MENTION]Katavi[/MENTION].

haa haaa haaa masikini Katavi. aliahidi kutoshabikia timu yoyote iliyobaki lakini moyo moyo umemsukuma kushabikia costa rica. lakini naomba tu asiyekushabikia holland.
 
Last edited by a moderator:
haa haaa haaa masikini Katavi. aliahidi kutoshabikia timu yoyote iliyobaki lakini moyo moyo umemsukuma kushabikia costa rica. lakini naomba tu asijekushabikia holland.

Kukutoa mashaka DEMBA , huyu Katavi yupo huku...

quote_icon.png
By Katavi

acha zako wewe. Tukutane nusu fainali.

#teamBrazil ,,,,,,,,#teamMess
 
Last edited by a moderator:
1.emanuel neuer (germany)
2.de vrij (holland)
3.marcelo(brazil)
4.david luiz(brazil)
5.thiago silva(brazil)
6.paulinho(brazil)
7.memphis depay(holland)
8.mathie valbuena(france)
9.james rodriguez(colombia)
10.lionel mess(argentina)
11.arjen robben(holland)

ungesema kwa mawazo yako usijumuishe kihivyo
 
Germany na Holland washinde Amerika kusini?Tena wawaondoe Brazil na Argentina nusu fainali?Mechi zinachewa viwanja ndani ya Brazil huko Amerika kusini?Anayewaza hivi lzm kapiga bia kadhaa mchana huu
 
Kwangu mimi naona hivi
1.Emanuel Neuer- Germany
2.Aurier Serge-Ivory Coast
3.Daley Blind- Holland
4.Mats Hummels -Germany
5.Vicent Kompany- Belgium
6.Gustav -Brazil
7.Robben- Holland
8.Paul Pogba -France
9.James Rodriguz -Colombia
10.Leone Messi- Argentina
11.Angel De maria-Argentina
 
Ingawa kwenye quarter final ya Argentina na USA nilikosea ila huu ndo ulikua utabir wangu kwenye hii michuano

Quarter final
Brazil vs Colombia
Winner brazil

Netherland vs costarica
Winner Netherland

France vs Germany
Winner germany

Argentina vs USA
Winner Argentina

Semi final
Brazil vs Germany
Winner Brazil

Nertheland vs Argentina
Winner Argentina

Final
Brazil vs Argentina
Winner BRAZIL
 
Kwaheri Brazil
Acha hizo bwana,Davdi Luiz yupo,tena ndo atakuwa anapiga mipira ya adhabu,sema Neymar ndo huwa anasababisha ipatikane,Im sure Shwaintaiger angemkaba sana Neymar na kusababisha faulo kibao,any way hata bila Neymar Brazil watashinda
 
Brazil ikishinda siangalii fainali
 
Back
Top Bottom