Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ila Kwa Mpira wa Senegal wakiongeza figisu kidogo zs nyumbani MASRI anadondoshwa.Basi tena, watapita Waarabu safari hii, na kama wakipita wasitutie aibu huko World Cup
Mwarabu mwarabu tu Mzee WanguKwanini umekazia kwenye discrimination kutaja Waarabu?
Waaarabu wamekomaa sana. Ila tumuombee Mungu Senegal, ukiacha dhana ya Mpira Matokeo...lakini ukweli usiopingika kwa sasa SENEGAL si tu mabingwa wa Africa bali wana UBORA kuliko timu zote, jamaa wanacheza soka safi sana.Hao waarabu kwenye world stage wakiwa wanatuwakilisha Waafrika huwa hakuna kinachoendelea ila katika hizo Timu mimi kama African nadhani wawakilishi bora watakuwa Morocco kuliko DRC na Tunisia kuliko Mali;
Anyway binafsi naona kama World Cup Ijayo hatuna mwakilishi wa maana (wote naona kama wapo below par)
Senegal hii na ya kina Aliou Cisse / Khalilou Fadiga, Papa Bouba Diop ipi ilikuwa bora ?Waaarabu wamekomaa sana. Ila tumuombee Mungu Senegal, ukiacha dhana ya Mpira Matokeo...lakini ukweli usiopingika kwa sasa SENEGAL si tu mabingwa wa Africa bali wana UBORA kuliko timu zote, jamaa wanacheza soka safi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni Exceptional sema kwa hii sema hii ya sasa imezizidi timu nyingi za Africa.Senegal hii na ya kina Aliou Cisse / Khalilou Fadiga, Papa Bouba Diop ipi ilikuwa bora ?
Nadhani walikosa tu a Complete Finisher yule El Hadji Diouf alikuwa butu ingawa kwenye other departments alikuwa bora
Ni waarabu kweliKwanini umekazia kwenye discrimination kutaja Waarabu?
Kwenye misri umekosea mzee, mahaba yamekutia upofu, misri anamalizia ugenini.
Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani
.
Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg.
DRC 1
Morocco 1
.
Senegal 0
Egypt 1
.
Cameroon 0
Algeria 1
.
Mali 0
Tunisia 1
.
Fikiria kwa tamaduni ya soka la Afrika waarabu wakiwa nyumbani Ndugu zetu watachomoka kweli?
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uweza wa Allah hakuna kinachoshindikana.
Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani
.
Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg.
DRC 1
Morocco 1
.
Senegal 0
Egypt 1
.
Cameroon 0
Algeria 1
.
Mali 0
Tunisia 1
.
Fikiria kwa tamaduni ya soka la Afrika waarabu wakiwa nyumbani Ndugu zetu watachomoka kweli?
.
Sent using Jamii Forums mobile app