World Cup Qualifiers Kwa Team Za Africa

World Cup Qualifiers Kwa Team Za Africa

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
.
Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani
.
Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg.
DRC 1
Morocco 1
.
Senegal 0
Egypt 1
.
Cameroon 0
Algeria 1
.
Mali 0
Tunisia 1
.
Fikiria kwa tamaduni ya soka la Afrika waarabu wakiwa nyumbani Ndugu zetu watachomoka kweli?
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tena, watapita Waarabu safari hii, na kama wakipita wasitutie aibu huko World Cup
Ila Kwa Mpira wa Senegal wakiongeza figisu kidogo zs nyumbani MASRI anadondoshwa.
.
Misri kwa sasa wana TIMU MBOVU KULIKO KIPINDI CHOCHOTE kile.
.
WC ya Russia walienda hawakufanya vzr ila walikuwa wapo na kikosi kizuri.
.
Ila hawa wa sasa wengi WAZEE wakienda Qatar Bara la Africa litapata FEDHEHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waarabu kwenye world stage wakiwa wanatuwakilisha Waafrika huwa hakuna kinachoendelea ila katika hizo Timu mimi kama African nadhani wawakilishi bora watakuwa Morocco kuliko DRC na Tunisia kuliko Mali;

Anyway binafsi naona kama World Cup Ijayo hatuna mwakilishi wa maana (wote naona kama wapo below par)
 
Nimefadhaika sana
Nimehuzunika sana
Nikajiuliza sababu hasa ni nini
Watu wazima kukaa na kusema tumvunjie heshma
Nimemwandikia barua
Nimemuomba kuachia ngazi
Makofi pwa pwa pwaaa.
 
Hao waarabu kwenye world stage wakiwa wanatuwakilisha Waafrika huwa hakuna kinachoendelea ila katika hizo Timu mimi kama African nadhani wawakilishi bora watakuwa Morocco kuliko DRC na Tunisia kuliko Mali;

Anyway binafsi naona kama World Cup Ijayo hatuna mwakilishi wa maana (wote naona kama wapo below par)
Waaarabu wamekomaa sana. Ila tumuombee Mungu Senegal, ukiacha dhana ya Mpira Matokeo...lakini ukweli usiopingika kwa sasa SENEGAL si tu mabingwa wa Africa bali wana UBORA kuliko timu zote, jamaa wanacheza soka safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila figisu wale waarab awatoki kwa mpira wanaocheza Senegal kila dakika 15 wanabadilika kushinda kwao ni Mwenyezi Mungu tu apitishe alitakalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waaarabu wamekomaa sana. Ila tumuombee Mungu Senegal, ukiacha dhana ya Mpira Matokeo...lakini ukweli usiopingika kwa sasa SENEGAL si tu mabingwa wa Africa bali wana UBORA kuliko timu zote, jamaa wanacheza soka safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Senegal hii na ya kina Aliou Cisse / Khalilou Fadiga, Papa Bouba Diop ipi ilikuwa bora ?

Nadhani walikosa tu a Complete Finisher yule El Hadji Diouf alikuwa butu ingawa kwenye other departments alikuwa bora
 
Ile ni Exceptional sema kwa hii sema hii ya sasa imezizidi timu nyingi za Africa.
.
Jana Masri alipigiwa Mpira sana kama yupo Ugenini. Na Senegal walijifunga goli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeisha hiyoo..unajua ile AFCON iliwaumiza sana waaarabu ilibidi wakae kikao kuona inakuaje wameburuzwa kiasi kile..sasa fikiria playoff marudiano wote wako nyumbani..ndio maana nikasema imeisha hiyooo!
 
Nafikiri Senegal wakiongeza umakini kwenye finishing kidogo tu,Egypt anaaga safari...timu za afrika kaskazini sijaona ukali wao sana kwenye world cup...
 
Kwa wale wakata viuno DRC ni heri waende Morocco, hamna kitu wanacheza bolingo tu uwanjani. Yale ma Cameroon mafala kweli nayo jana yalizingua.
 
.
Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani
.
Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg.
DRC 1
Morocco 1
.
Senegal 0
Egypt 1
.
Cameroon 0
Algeria 1
.
Mali 0
Tunisia 1
.
Fikiria kwa tamaduni ya soka la Afrika waarabu wakiwa nyumbani Ndugu zetu watachomoka kweli?
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye misri umekosea mzee, mahaba yamekutia upofu, misri anamalizia ugenini
 
.
Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani
.
Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg.
DRC 1
Morocco 1
.
Senegal 0
Egypt 1
.
Cameroon 0
Algeria 1
.
Mali 0
Tunisia 1
.
Fikiria kwa tamaduni ya soka la Afrika waarabu wakiwa nyumbani Ndugu zetu watachomoka kweli?
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uweza wa Allah hakuna kinachoshindikana
 
Back
Top Bottom