World Economic Forum yaja - wadaresalama mtapita wapi?

World Economic Forum yaja - wadaresalama mtapita wapi?

PLEASE BE ADVISED ..........................
Dar es Salaam and Tanzania is hosting the World Economic Forum this week. Reports are coming in about possible closed roads. The Swahili service of the BBC reported a closure of the airport road and some other roads from 7 to 3:30 tomorrow. At least one government minister has said that some roads will be closed for three hours in the morning and three in the afternoon.
Ali Hassan Mwini will be closed from 7 - 9 am and from 4 - 7 pm tomorrow through Friday.
And that Mlimani will be completely closed all of those days, plus the airport road may be closed as needed.

Knight Support will endeavour to ensure that ALL alarms are reponded to in a tiemly fashion but please bear the above in mind.

Regards

Rhona ( source BBC Swahili)

Jamani hii serikali ndiyo kusema ina Support mgomo wa wafanyakazi kwani kama zitafungwa kuanzia saa 7 - 9.00am na huo ndiyo muda wa wafanyakazi kwenda kazini maana yake watu wa kule Bunju, Mbezi hatutakwenda kazini !!! tukitoka saa tatu tutafika saa sita kazini, na saa 10 wanafunga tena njia hivyo ili kuwahi kabla hawajafunga njia tuwe tumepita mwenge na ubungo inabidi tuondoke kazini saa saba au saa nane !!!! Working hrs ni 3 hrs!!, Je, hapo si tayari serikali imeruhusu mgomo watu tubakie homeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!.
Kwa nini kusiwe na planned root ya hao wageni ambayo haitaharibu mfumo mzima wa wafanyakazi na shughuli za kiuchumi. Naamini watu hawajafanya Homework zao!! There is a solution more than clossing the roads.
 
Mimi nadhani tunaenda madongo kuinama! Hii aiingii akilini kabisa alafu tusipofanya kazi vizuri wanaanza lawama!
 
Da, imebidi nicheke, hii ni baraka kwetu sisi tulokuwa tuna mpango wa kugoma. Tanzania zaidi ya uijuavyo.
 
Hivi jamani huwa hamuangalii wenzenu wameanzisha thread gani? Ya 3 sasa hii kuhusu hiyo WEF na foleni za dar.Kuna wenzio walishawahi toka asubuhi.Na hii repetition thread bora ifutwe maana itakuwa THREAD jam sasa.
 
PLEASE BE ADVISED ..........................
Dar es Salaam and Tanzania is hosting the World Economic Forum this week. Reports are coming in about possible closed roads. The Swahili service of the BBC reported a closure of the airport road and some other roads from 7 to 3:30 tomorrow. At least one government minister has said that some roads will be closed for three hours in the morning and three in the afternoon.
Ali Hassan Mwini will be closed from 7 - 9 am and from 4 - 7 pm tomorrow through Friday.
And that Mlimani will be completely closed all of those days, plus the airport road may be closed as needed.

Knight Support will endeavour to ensure that ALL alarms are reponded to in a tiemly fashion but please bear the above in mind.

Regards

Rhona ( source BBC Swahili)

Jamani hii serikali ndiyo kusema ina Support mgomo wa wafanyakazi kwani kama zitafungwa kuanzia saa 7 - 9.00am na huo ndiyo muda wa wafanyakazi kwenda kazini maana yake watu wa kule Bunju, Mbezi hatutakwenda kazini !!! tukitoka saa tatu tutafika saa sita kazini, na saa 10 wanafunga tena njia hivyo ili kuwahi kabla hawajafunga njia tuwe tumepita mwenge na ubungo inabidi tuondoke kazini saa saba au saa nane !!!! Working hrs ni 3 hrs!!, Je, hapo si tayari serikali imeruhusu mgomo watu tubakie homeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!.
Kwa nini kusiwe na planned root ya hao wageni ambayo haitaharibu mfumo mzima wa wafanyakazi na shughuli za kiuchumi. Naamini watu hawajafanya Homework zao!! There is a solution more than clossing the roads.

...Ni Ujinga tu wa Mwafrika. Achilia mbali wafanyakazi, wasafiri na wagonjwa watapita wapi sasa? Anyway, ngoja nimsubirie Afande Kova naye atasemaje.
 
hivi jamani huwa hamuangalii wenzenu wameanzisha thread gani? Ya 3 sasa hii kuhusu hiyo wef na foleni za dar.kuna wenzio walishawahi toka asubuhi.na hii repetition thread bora ifutwe maana itakuwa thread jam sasa.

lol!!!!!!!!!!
 
Thread kama hizi zishaanzishwa na wenzio toka asubuhi sana leo.Ulikuwa wapi? kwa nini hujazisoma kwanza na wewe ukachangia huko.
Sore kama nimekukwaza lakini ni vema kama ingefutwa naiona ni unnecessary.
 
Wanatuongezea ugumu wa maisha tu - sasa kwenda feli wiki hii itakuwa ngumu sana kupata vidagaa vya kutowezea. Halafu dala-dala hazitafanya kazi vizuri kwa hiyo makonda wengi watajiajiri (wizi) wenyewe wiki hii tu.

Kwa kifupi wiki hii taifa lipo mapumzikoni.
 
duh hii kali - eti nini? Thread Jam? teh teh teh
 
Nimeisikia hii habari katika radio leo asubuhi kuwa barabara ya Nyerere na Ali Hassani Mwinyi zitafungwa ili kuwapisha wageni wanaokuja kwenye mkutano wa maedeleo Africa.

Je,hii imekaaje waungwana?
Kama Kova alizunguka na helkopta kutazama athari za mvua ya juzi, kwa nini hao wageni wasiwatembeze kwa helikopta.......?
 
Ikiwa tunataka kujulikana nakuonekana katika sura ya jumuiya ya kimataifa lazima tukubali sacrifice kama hizi za adha ya kufungiwa barabara itakayo anza kesho............me naona sawa tu pengine adha hii itawafanya wakubwa wafikirie uwezekano wakujenga barabara za kutosha na ku-plan vizuri sio kila ki2 kiwe mjini (posta) kuanzia embassies, hotel, ministries mpaka private companies....tujifunze hapo jirani tu nairobi ilivyo kuwa na plan nzuri.....
 
sasa kwa foleni itakayokuwepo,watu watingia kazini lunch time!!
 
Ebwana hii imekaa vibaya ni jambo la kushangaza kuwa tunang'ang'ania kuwa tunaweza wakati hatuna future plan. See this is realy embarase tuna miundo mbinu mibovu alafu tunang'ang'ania.

Pliizz fikiria tunajua kuwepo kwa mkutano huu hapa nchini inaongezea nchi kipato lakini kulitakiwa kuwa na plan coz i believe kuwa ilikuwa na plan ya muda mrefu so wangeweza kuwaaccomodate kwenye hotel za nje ya mji kama white sand see clif Double tree By Hilton and so on then wakatumia njia moja tu au hata wakafanya mkutano maeneo ya hukohuko Ufukweni. But closing the roads for all that time its ridiculous.
 
Mie napendekeza Wangu na Mandera Road, Bagamoyo, Morogoro na Kilwa Roads. Na wazifunge kwa siku nzima. Dunia haitajua kuwa kuna mgomo ila kuna UGENI na barabara zimefungwa na wanachi wamepewa Public Holiday. Uchaguzi ukifika watapata ushindi wa kishindo.
Ni busara kubwa sana kufunga baabara ya kwenda Airport kwa masaa mengi namna hiyo. Hao wawezekaji kama walikuwa na mpango wa kusafiri siku hiyo, watatusifu sana.

UJUMBE KWENU WABUNGE hasa Zitto na Dr. Slaa.
Kwanini bunge lisipitishe sheria kuwa kwa ugeni wowote, Max time kufunga barabara iwe walau saa moja. Kila mgeni atakayekuja basi lazima afahamu hali yetu. Vinginevyo basi wapelekeni Arusha maana huko walau magari machache. Mwisho ni kuwa Dar mji ueshaharibiwa. Pelekeni makao makuu haraka Dodoma na mjenge huko uwanja wa ndege mapema. Ni kuiondoa tu Makao Makuu Dar itasaidia kupunguza aibu na adha kwa wakaaji wa Dar.
 
Tuesday May 4 - Friday May 7
ROAD
CLOSING TIMES

Ali Hassan Mwinyi
Morning 7AM-9AM
Evening 3PM - 7PM

Nelson Mandela Road (road to Mlimani City)
closed for the rest of the week.

Airport road
close on and off, as needed

ALTERNATIVE ROUTES DURING THOSE TIMES:

those residing SINZA, KIJITONYAMA Areas
MOROGORO Rd,
those visiting MLIMANI CITY, MAKONGO JUU
ARDHI (UDSM) Rd
Those residing MIKOCHENI, MBEZI,areas
OLD BAGAMOYO (Kawe) Rd

Please take this into account when planning your commute to/from work.

Si wangepeleka Arusha Mungu wangu? yaani nashindwa kuelewa kutakuwaje!

Mungu wangu,Arusha mnataka kutuuua,Huwa hatuna barabara...kuna barabara moja tu ya Sokoine.....Leo yenyewe sijuhi kuna mkutano gani hapa,watu tumechanja mbuga kwa miguu.
 
The meeting is just too big for Tz to host. Pia inaweza kuwa wrong timing kwa waandaaji, maana iwapo mvua itanyesha wataumbuka!
 
6am-9am and 3pm-7pm Ali Hassan Mwinyi Road will be closed, Ohio closed off/on ,Nyerere road closed off/on.
· Mwenge area near mlimani city,Buguruni ,Uhuru and the city centre will be impassable during certain hours.
kudadeki walahi!
 
Back
Top Bottom