World Islamic Cup, 2022 Qatar

World Islamic Cup, 2022 Qatar

Kuna Nani?
Binadamu wa Kwanza kuumbwa alikuwa Nani? alitahiriwa?
Akhy mjadala umeuendesha vizuri na unajenga hoja zenye mantiki.

Ila nakukumbusha akhy ni vema kuachana tu na mjadala huu maana hauna tija yoyote.

Plus ni kumkosea adabu mtume swalla llahu allaihi wasallam,na hailingani na hadhi yake kumjadili kwa jambo kama hili, ambalo linachukiza hata kurudia kulitaja.

Hivyo dhihaka za huyu kafiri wala hazibadilishi chochote katika haqi.

Hivyo ni vyema kumpuuza.
 
Allah alivyosema Abraham alijitahiri kwa shoka , unatuambia alikiwa anamkosea adabu Abraham?
 
Hawa ni wale mustashriqiina,lengo la kufuatilia yaliyomo.ktk din ni kufanya upotoshaji
Akhy huyu jamaa ni poyoyo kabisa, hata kumuita mustashriq ni kama kumpaisha, maana mi nadhani hao mustashiriqiina huwa wanasoma kwelikweli ili waje na masuala sensitive katika dini, na sio upuuzu anaoleta huyu.

Nakuambia hivyo kwakuwa nilishampima katika engo zote na kumuona kuwa hamna kitu ni chuki tu ndio zinazo msumbua.
Hakuna swali niliwahi kumuuliza akaweza kujibu katika haya mambo ambayo huwa anayaleta.

Hivyo huwa anakopy tu kikasuku kutoka kwa waliomzidi kimo, plus maradhi(zaigh) aliyonayo moyonimwake basi hujiona anajua.

Imagine mtu hajui hata kiarabu anaanzaje kuupiga vita uislamu kwa kutumia nuswuus zenyewe, kama sio kujidanganya.

Na kama hao mustashiriqiina ni kama huyu basi ni mapoyoyo kabisa.
 
Hawa ni wale mustashriqiina,lengo la kufuatilia yaliyomo.ktk din ni kufanya upotoshaji
Mfano angalia jinsi anavyodhihirisha ujinga wake kwa swali aliloniuliza hapo juu.

Ameleta hadith kutoka katika Sahih Al Bukhariy, halafu ananiuliza Allah aliposema....!

Yaani wala hajui kuwa hiyo ni hadith ya Mtume swalla llahu allaihi wasallam, na sio maneno ya Allah subhanah.
 
Ona ulivyo mjinga , Muhammad alikuwa haongei jambo Kwa utashi wake mnatuambia alikuwa anatoa Kwa Allah , apa wewe unakuja kusema hajatoa Kwa Allah ila ni maneno yake Muhammad

Soma hapa na husirudie tena kasome ujinga ukutoke

33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Muhammadi ndio Allah mwenyewe.
 
War machine wewe ni shoga??naona unapigania haki yako
 
Mfano angalia jinsi anavyodhihirisha ujinga wake kwa swali aliloniuliza hapo juu.

Ameleta hadith kutoka katika Sahih Al Bukhariy, halafu ananiuliza Allah aliposema....!

Yaani wala hajui kuwa hiyo ni hadith ya Mtume swalla llahu allaihi wasallam, na sio maneno ya Allah subhanah.
Kwa sababu umedai sio Allah ni Muhammad,unatakiwa uje ujibu muhammad alijuaje Abraham kajitahiri?

La sivyo tuhitimishe Muhammad alikuwa ana copy maandiko ya waisrael
 
Ona ulivyo mjinga , Muhammad alikuwa haongei jambo Kwa utashi wake mnatuambia alikuwa anatoa Kwa Allah , apa wewe unakuja kusema hajatoa Kwa Allah ila ni maneno yake Muhammad

Soma hapa na husirudie tena kasome ujinga ukutoke

33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
Maneno ya Allah subhanah ndio QURAN.

Maneno ya Mtume -swalla llahu allaihi wasallam- ndio HADITH ZA MTUME, ingawa hii inajumuisha na vitendo, sifa za Mtume, na mambo ambayo aliyakiri.
Mfano wa hadith ni hiyo uliyoitaja hapo juu.

Katika hadith kuna ambazo maana yake inatoka kwa Allah na lafydhi ni ya Mtume -swalla llahu allaihi wasallam- hizi zinaitwa HADITH AL-QUDSIY.

TOFAUTI

QURAN: ni maneno ya Allah kilafudhi na kimaana.

HADITH ZA MTUME: ni maneno ya mtume kilafudhi na kimaana.

HADITH AL- QUDSIY: ni maneno ya Allah kimaana na lafudhi ni ya Mtume -swalla llahu allaihi wasallam-.

Tunaposema Mtume swalla llahu allaihi wasallam- hazungumzi kwa matamanio ya nafsi yake bali ni Wahyi(ufunuo) kutoka kwa Allah.

Maana yake ni kuwa Mtume hazungumzii mambo ya dini kwa utashi wake bali ni ufunuo kutoka kwa Allah.
Mfano ni hiyo hadith uliyoitaja hapo juu, Mtume -swalla llahu allaihi wasallam- hakuwepo kipindi cha Nabii Ibrahim -alaihi ssalaam- bali ni kwa ufunuo kutoka kwa Allah ndio amejua hivyo.

Lakini itabaki kuwa hayo ni maneno ya Mtume -swalla llahu allaihi wasallam- kilafudhi na kimaana.

Na Allah ndiye mjuzi zaidi.
 
Usirudie tena , hayo ni maneno ya Allah , maneno ya Allah yote yamepitia kwenye kinywa Cha Muhammad, Allah ndio anaaamua neno lipi liingie kwenye Koran na lipi lisiingie

Usirudie kudanganya tena
 
Muhimu ni kuwa umesoma nilichokiandika na kukielewa, basi inatosha.

Quran ni maneno ya Mola aliyetuumba sisi wanaadamu na akaumba mbingu na ardhi, na wala haikuwa kwa Mtume Muhammad au mwanaadamu yeyote yule kuweza kuja na kitabu kikamilifu kama Quran.
Na hili Allah amelibainisha wazi katika Quran.

Katika Quran Allah subhanah ameeleza hali zetu sisi wanaadamu na yale yanayo tupitikia katika mioyo yetu, kwa kuwa yeye ni mjuzi wa yaliyomo vifuani mwetu.
Na katika hili kila mmoja atakuwa shahidi wa nafsi yake.

Hivi unajua kuwa hata haya mambo ambayo huwa unayafanya ya kuchukua aya za Quran na kuzitafsiri unavyotaka wewe, Allah alisha lieleza hilo katika Quran?
 
Ulichokuja nacho kuonesha unajua kumbe hujui, umejikuta umeangukia pua, nimekuonya tu nikiandika kitu usikurupuke kujibu

Koran sio mimi naweka maelezo yangu , naweka maelezo yenu kutoka skola wenu na hadith zenu
 
Back
Top Bottom